Mwanzo > Habari Mpya za ubalozi wa China
Balozi Chen Mingjian Akutana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Abdi Mahamoud Abdi
2026-10-23 21:39

Mnamo Oktoba 20, Balozi wa China nchini Tanzania Mhe. Chen Mingjian alikutana na Mhe. Abdi Mahamoud Abdi, Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) huko Zanzibar, Tanzania. Walikubaliana kuimarisha urafiki kati ya Chama cha Kikomunisti cha China na CCM kwa manufaa ya nchi hizo mbili na watu wawili.


Suggset To Friend:   
Print