Mwanzo > Habari Mpya za ubalozi wa China
Balozi Chen Mingjian Akutana na Katibu Mtendaji wa UNCDF Pradeep Kurukulasuriya
2026-06-29 14:52

Mnamo Juni 26, Balozi wa China nchini Tanzania Mhe. Chen Mingjian alikutana na Katibu Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Mitaji wa Umoja wa Mataifa Bw. Pradeep Kurukulasuriya katika Ubalozi. Walibadilishana mawazo kuhusu kuimarisha ushirikiano wa pande tatu.


Suggset To Friend:   
Print