Balozi Chen Mingjian Akutana na Msajili wa Hazina wa Tanzania, Nehemiah Mchechu
2026-06-12 16:31
Tarehe 18 Mei, Balozi wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Chen Mingjian, alikutana na Msajili wa Hazina wa Tanzania, Bwana Nehemiah Mchechu. Wawili hao walibadilishana mawazo kuhusu masuala mbalimbali yenye maslahi ya pamoja.