Balozi Chen Mingjian Akutana na Mwakilishi wa UNDP nchini Tanzania, Shigeki Komatsubara
2026-06-12 16:28
Tarehe 1 Mei, Balozi wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Chen Mingjian, alikutana na Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Tanzania, Bwana Shigeki Komatsubara, katika Ubalozi. Walibadilishana mawazo kuhusu kuimarisha ushirikiano wa pande tatu.