Mwanzo > Habari Mpya za ubalozi wa China
Balozi Chen Mingjian Akutana na Balozi Mpya wa Tanzania nchini China Suleiman Haji Suleiman
2026-04-13 01:36

Tarehe 10 Aprili, Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjian, alikutana na Balozi mpya wa Tanzania nchini China, Mhe. Dkt. Suleiman Haji Suleiman. Pande zote mbili zilijadiliana kuhusu uhusiano wa pande mbili pamoja na kuimarisha zaidi mawasiliano na ushirikiano.

Balozi Suleiman alieleza utayari wake wa kushirikiana kwa karibu na upande wa China ili kuendeleza na kuimarisha zaidi uhusiano kati ya Tanzania na China.


Suggset To Friend:   
Print