Mwanzo > Habari Mpya za ubalozi wa China
Balozi Chen Mingjian Ahudhuria Hafla ya Kuaga Wafanyabiashara wa Tanzania Wanaoshiriki Maonesho ya 8 ya Kimataifa ya Uagizaji wa Bidhaa ya China
2026-03-12 16:18

Mnamo tarehe 27 Oktoba, Ubalozi wa China nchini Tanzania uliandaa hafla iliyopewa jina “Kutoka Barabara ya Urafiki hadi Dirisha la Fursa”  hafla ya kuwaaga waoneshaji wa Tanzania wanaokwenda kushiriki Maonesho ya 8 ya Kimataifa ya Uagizaji wa Bidhaa ya China.

Mheshimiwa Balozi Chen Mingjian na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania, Bi. Latifa Khamis, walihudhuria hafla hiyo, pamoja na zaidi ya watu 70, wakiwemo wawakilishi wa makampuni ya Tanzania.


Suggset To Friend:   
Print