Mwanzo > Habari Mpya za ubalozi wa China
Ubalozi wa China nchini Tanzania wafanya sherehe za maombolezo na usafi wa makaburi
2020-04-04 23:31

Aprili 4, 2020 Ubalozi wa China nchini Tanzania ulipandisha bendera nusu mlingoti kuomboleza mashahidi yawaliopoteza maisha o katika mapambano dhidi ya mlipuko wa COVID-19 na wenzao waliofariki kwasababu ya ugonjwo huo.

Ubalozi wa China nchini Tanzania ulipandisha bendera nusu mlingoti Aprili 4

kuomboleza mashahidi waliopoteza maisha yao katika mapambano dhidi ya COVID-19

na wenzao waliofariki kwasababu ya ugonjwa huo.

Siku hiyohiyo, Mh. Wang Ke, Balozi wa China nchini Tanzania, Bwana Joseph Kahama, Katibu Mkuu wa Jumuia ya Kuendeleza Urafiki kati ya Tanzania na China, na wawakilishi wengine wa Ubalozi wa China na makampuni nchini Tanzania, walitoa heshima kwenye makaburi ya wataalamu ya Kichina nje ya Dar ya Salaam, kwa heshima ya wale waliojitea uhai katika ujenzi wa Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) na utekelezaji wa miradi mingine ya Ushirikiano wa China na Tanzania.

Mh. Wang Ke, Balozi wa China nchini Tanzania, Mr Joseph Kahama, Katibu Mkuu wa Jumuia ya

Kuendeleza Urafiki wa Tanzania na China na wawakilishi wengine wa Ubalozi wa China na makampuni nchini

Tanzania wakiwa kimya kwa dakika tatu mbele ya mnara katika Makaburi ya Wataalamu wa Kichina.

Mh. Wang Ke, Balozi wa China nchini Tanzania, na Joseph Kahama,

Katibu Mkuu wa Jumuia ya Kuendeleza Urafiki kati ya Tanzania na China

wakiweka maua mbele ya kaburi la mtaalamu wa Kichina katika makaburi hayo.

Suggset To Friend:   
Print