Mwanzo > Habari Mpya za ubalozi wa China
Balozi Wang Ke akutana na Spika wa Bunge la Tanzania na Kundi la Wajumbe Wabunge Marafiki wa Tanzania na China
2018-11-13 02:59

Tarehe 8 Novemba 2018, Mhe. Wang Ke, Balozi wa China nchini Tanzania, alikutana na Mheshimiwa Job Y. Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania, na Mheshimiwa Sixtus Mapunda, Mwenyekiti wa Shirikisho la Urafiki wa Bunge la Tanzania na China na wanachama wengine mjini Dodoma. Mshauri Liang Lin na Mshauri Dai Xu walihudhuria mkutano huo.

Suggset To Friend:   
Print