Balozi Chen Mingjian Ahudhuria Hafla ya Kujitokeza kwa Watu ya "Siku ya Kimataifa ya Taijiquan"
2026-03-24 15:05
Katika hafla ya Siku ya kwanza ya Kimataifa ya Taijiquan ya UNESCO mnamo Machi 21, Mh. Balozi  wa China Chen Mingjian alihudhuria Hafla ya Kujitokeza kwa Watu ya "Siku ya Kimataifa ya Taijiquan".

