Mwanzo > Habari Mpya za ubalozi wa China
Balozi Chen Mingjian akisikitiza miradi ya makampuni ya China katika Mkoa wa Rukwa, Tanzania.
2026-03-23 20:03

Kuanzia Machi 17 hadi 19, Balozi wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Chen Mingjian, alitembelea na kukagua miradi inayotekelezwa na makampuni ya China ikiwemo BCEG, CGEC, na POWERCHINA katika Mkoa wa Rukwa, Tanzania.


Suggset To Friend:   
Print