Ubalozi wa China nchini Tanzania Wachapisha Toleo Maalum katika Gazeti Kuu la Tanzania Kuhusu Suala la Taiwan
2026-03-12 16:26
Tarehe 23 Desemba, Ubalozi wa China nchini Tanzania ulichapisha toleo maalum kuhusu suala la Taiwan katika gazeti la Guardian,moja ya gazeti kuu la Kiingereza nchini Tanzania.
Toleo hilo maalum linahusisha maudhui yafuatayo: “Rais Xi Jinping asema mwelekeo wa kuunganishwa tena kwa China hauzuiliki’,“Wang Yi: Hadhi ya Taiwan ‘imefungwa kwa kufuli saba’, na makala iliyosainiwa na Balozi wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Chen Mingjian yenye kichwa cha habari “Historia Haipaswi Kupotoshwa na Haki Itashinda.