Balozi Chen Mingjian Akutana na Waziri wa Viwanda na Biashara Selemani Saidi Jafo
2025-06-06 15:46
Tarehe 3 Juni, Mhe. Chen Mingjian, Balozi wa China nchini Tanzania alikutana na Mhe. Selemani Saidi Jafo, Waziri wa Viwanda na Biashara jijini Dar es Salaam. Walibadilisha maoni juu ya ushirikiano wa kiuchumi na biashara wenye manufaa kwa pande zote kati ya China na Tanzania.