Balozi Chen Mingjian akutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Ridhiwani Jakaya Kikwete
2025-06-03 20:23
Mei 28, Balozi wa China nchini Tanzania Mhe. Chen Mingjian alikutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete jijini Dodoma. Wao walibadilisha maoni kuhusu ushirikiano wa vitendo kwa maendeleo ya pamoja.