Balozi Chen Mingjian Akutana na Balozi wa Namibia Nchini Tanzania Lebbius Tangeni Tobias
2025-05-07 21:56
Mei 6, Balozi wa China nchini Tanzania Mhe. Chen Mingjian alikutana na Balozi wa Namibia Mhe. Lebbius Tangeni Tobias jijini Dar es Salaam. Walibadilishana maoni juu ya maendeleo ya uhusiano kati ya China na Afrika.