Balozi Chen Mingjian Akutana na RC wa Mbeya Dk. Juma Homera
2025-05-01 22:25
Aprili 30, Balozi wa China nchini Tanzania H.E. Chen Mingjian alikutana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dk. Juma Homera huko Dar es Salaam. Walibadilishana maoni kuhusu ushirikiano wa serikali za mitaa kwa ajili ya maendeleo ya pamoja.