Mwanzo > Habari Mpya za ubalozi wa China
Balozi Chen Mingjian akutana na Mwakilishi wa Muda wa UNHCR nchini Tanzania Bwana Zulqarnain Hussain Anjum
2025-04-23 16:42

Tarehe 22 Aprili, Balozi wa China nchini Tanzania Mhe. Chen Mingjian alikutana na Mwakilishi wa Muda wa UNHCR nchini Tanzania Bw. Zulqarnain Hussain Anjum. Walibadilishana mawazo juu ya masuala ya maslahi ya pamoja.

Suggset To Friend:   
Print