Mwanzo > Rolling News Report
Mchina Kamatwa kwa Kusafirisha Meno ya Tembo nchini China
2014-03-18 00:02

Tarehe 8, Machi, 2014, Mchina mmoja wenye umri wa 28 amekamatwa akisafirisha meno ya tembo nchini Mkoa wa Zhejiang, China. Polisi akikagua mzigo wake alikuta na meno ya tembo yenye thamani ya dola 30,000. Mtu huyu alisema kwaba alinunua meno haya kwa dola 4,000 tu katika soko moja na alitaka kuyapeleka kwa nyumbani yake. Ameshakamatwa na atapelekwa sheriani. Katika mwezi wa kwanza, mwaka huu, serikali ya China ilivunja meno ya tembo yenye tani 6, ili kusaidia kusimamisha biashara ya meno ya tembo.

Suggset To Friend:   
Print